Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NDIZI: Hili pia ni tunda lenyejina kubwa kwa watu wengi wanaojali ulaji wa matunda, kwani nitamu na lenye ladha safi.Tunda hili husaidia kulainisha ngozi ya uso iliyokauka, kwa mfano utakuta kuna baadhi ya mafuta au losheni zimecholwa ndizi.Kula ndizi ili urekebishe ngozi ya uso wako pamoja na kuupa uwezo mzuri wa ukumeng'enya chakula.
 
PAPAI: Ni tunda sahihi kabisa katika kukupa ngozi yenye mafuta, kurudishia au kuziba sehemu zilizoumia na kunyofoka katika ngozi yako. Papai pia hunga'arisha rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana papai ambayo huitwa papain. Endapo kama unataka kutumia papai katika ngozi yako ya uso, basi chukua asali changanya na papai lililo iva na paka usoni kwako kwa dakika 10 kisha safisha, kisha utaona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana kama ngozi ya mtoto wa siku mbili.
 
CHUNGWA: Hili ni chungwa maarufu sana linalosaidia kurudishia ngozi iliyodhurika na kuupa uhalisia wa ngozi yako. Jinsi ya kutumia ni rahisi sana, chukua juisi ya chungwa ya baridi kisha paka usoni, acha kwa dakika 10 kisha osha utaona matokeo yake.
 
TOFAUTI na vyakula vingine, ndizi zinafaida kubwa sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ndizi zina virutubisho vya aina mbalimbali kama vile, protini, mafuta, kalishiamu, wanga, fosiforas, madini ya chuma, vitamin A,B,C na maji.
 
Hii ni kwa wanandoa tu.

Mkitaka NDOA yenu idumu miaka mnayotaka narudia tena Mkitaka NDOA yenu idumu miaka Mingi mpaka mchoke kuhesabu. MSISHIKIANE SIMU

Katika ndoa kumi Zilizovunjika hivi karibuni ni ndoa mbili pekee zina migogoro tofauti na SIMU.

Nendeni kuoga PAMOJA kusudi mwaminiane maana mmoja akibaki basi atapekua simu nzima cha kwanza atazama uwanja wa UJUMBE MFUPI huko ata saka kila shari! Hapo ndoa itaingia doa na haitodumu NEVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…