Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1..unaota uko na gold unaamka huna......
2..unaota
umeenda majuu unaamka uko kwa kitanda............

3..jaribu kuota unakojoa ndo utajua usingizi haipendi ujinga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepanda matatu hapo pangani alafu Mzee Fulani akaingia tukaanza kuenda... Huyo Mzee akaambia conda anashukia Kahawa Sukari...kila stage alikua anaambia conda hivyo... Conda akajam... Akageukia huyo mzee...akamuuliza... "Mzee...sasa ju umekula chumvi nyingi Umeamua kwenda kutafuta sukari... " [emoji23][emoji23][emoji23]...kumbe mzee ni Wale wabaya... Mzee akamwambia... "kijana... Unajua nikiwa rika yako nilikua napigisha Wasichana kelele kwa kitanda... Sio kuwapigia kelele waingie kwa matatu"...[emoji6]
What a T. B. T...
 
Back
Top Bottom