Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakandaaaaaa....[emoji135]View attachment 766270
Pole bro. Alipata mume mkorofi ama?Bro acha tu
Nakumbuka kuna sista wangu mmoja alikomaa na maombezi ya kupata mume, Kweli bhana akapata, yaliyo mkuta baadae ni tragic
Hakika mkuu.Kwema ndugu yangu. Tumshukuru Mungu
Hakika mkuu.Very well said Chief, Mungu Muumbaji ni mwema kwetu.
Dah. Kina dada hua wana nin sijui.? Huwa siwaelewi!
Hahah!! Siunajua mkuu wengine tuna matatizo ya kupata usingizi kwa wakati sasa bora tupotezee humu humu tuHahahahh,
Dah huwa mnajitahid sana ile mida ya Wanga aiseee.