Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Not sure if you know this
But when we first met
I got so nervous
I couldn't speak
In that very moment I found the one and
My life had found its missing piece

So as long as I live I'll love you
Will have and hold you
You look so beautiful in white
And from now to my very last breath
This day I'll cherish
You look so beautiful in white


[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Amen!
 
Huyu nyoka nimemsoma sehemu aisee! Ni hatari sana kwa hapa tanzania wapo wengi mkoa wa TABORA.

Unaambiwa wenyeji wa mkoa huo hasa sehemu za MASHAMBANI haiwapaswi kumtaja taja kwa jina japo sababu hawakuweka bayana labda pengine ambavyo nyoka huyu ni hatari kubwa.

Unaambiwa ndo nyoka mwenye speed zaidi kuliko wengine pia ana sumu kali zaidi ambayo uking'atwa huchukia nusu saa CHALI CHA MENDE.

huyo nyoka ana kila sifa za kuitwa nyoka hatari asa kwa mazingira ya binadamu, pia ni mkorofi sana kwa mujibu wa watu waliochangia uzi ule unaambiwa mkikutana nae tu bahati mbaya yeye anajua umekuja kumuwinda so it's either akuue au umuue.

Unaambiwa nyoka huyo mpaka kupewa jina hilo BLACK MAMBA hakupewa kwa bahati mbaya unafungua mdomo ulimi na meno mpaka mate yake ni vyeusi tii!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu nyoka tusimtaje taje nishaanza kuogopa na mimi, ndukiiii
Ukikutana nae macho unashauliwa utulie hvyo hivyo kama sanamu ukingoja huruma yake tu ndio ichukue nafasi ili uweze kuokoka....
 
[emoji257] When I heard that sound
When the walls came down
I was thinking about you
About you
When my skin grows old
When my breath runs cold
I'll be thinking about you
About you

Seconds from my heart
A bullet from the dark
Helpless, I surrender
Shackled by your love
Holding me like this
With poison on your lips
Only when it's over
The silence hits so hard

'Cause it was almost love, it was almost love
It was almost love, it was almost love
[emoji257]

[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Serikali ya Marekani imetaja nchi tisa duniani ikidai zinanyanyasa vyombo vya habari na waandishi wa habari na kutoa wito kwa dunia kuruhusu uhuru wa maoni na utawala wa demokrasia.

Akizungumza juzi na waandishi wa habari jijini Washington nchini humo, Ofisa Mwandamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje, Heather Nauert alizitaja nchi hizo kuwa Tanzania, Cambodia na Ufilipino akisema zimekuwa na matukio ya kufungia vyombo vya habari.
 
446411902_93864.jpg
 
Alizitaja pia nchi za Afghanistan, Burma, Cuba, Uturuki, Misri na China kwa unyanyasaji wa waandishi wa habari.

“Waandishi wa habari wanakamatwa kutokana na kazi zao katika maeneo ya Burma, Uturuki, Misri na China. Wanafamilia nao wamekuwa wakikamatwa kutokana na kazi za ndugu zao,” alisema na kuongeza:
 
Back
Top Bottom