Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mifano hii inaonyesha jinsi usalama na uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vya habari na mazingira yao wanavyotishiwa. Tungependa kusisitiza umuhimu wa usawa na uwepo wa demokrasia ya wazi na uhuru wa maoni.”
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ndiye msemaji mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas hakupatikana kuzungumzia madai hayo kwani simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokewa. Pia, ujumbe wa maandishi kwa simu aliotumiwa haukujibiwa.