Katika kipindi hicho alichokuwa nje, PSG ilitolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, ilitwaa ubingwa wa French Cup p[amoja na ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1, na kuwaacha mbali mahasimu wao kwa kuwalaza mabao 7-1 Monaco.

'Kuhusu Neymar, sifahamu hasa ni lini atakuwa uwanjani – Ijumaa na Jumamosi – lakini atakuwa hapa kuungana na sisi,' Emery aliwaambia waandishi w ahabari kabla ya mpambano wa PSG na Amiens.
Bro you are here lying to her that
She's a queen and she glitters like
Gold yet she is a black panther.[emoji1585][emoji1585] But why???
Ile radi itakupiga ata haiezi kubali handshake [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.