Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Niko njema kabisa.Kwema
How us u?
Niko njema kabisa.Kwema
How us u?
[emoji120][emoji120] amina rab amina..Aisee kwema sana DAVET,
ni wikiend nyingine,
tumwombe Mungu atufanyie wepesi tuimalize vyema.
Nilimis zile jokes zako nlizo kuwa nacheka hadi naamsha majirani[emoji2]Niko njema kabisa.
Oya Shemeji vipi?[emoji120][emoji120] amina rab amina..
Safi dada shunie hajambo[emoji23]
Kwema mzeiya vipi za kitambo?
Hahah!! Aisee poa tuSafi dada shunie hajambo
Wapi hukoMkuu kwema?
Kuna kitaa fulani leo nimeamua kukufanyia fujo huko..
Kanye was misunderstood
Uzi wako flani wa mwaka janaWapi huko
Yaan ukiulizia Shunie hadi unacheka tuu. Hahaha! Safi sana.Hahah!! Aisee poa tu
Nimeona umeongelea El clasico hapo juu vipi umejiandaa lakini?
Mkuu Pole sana maana kwa juu juu unaweza pigwa hata mkono yaani 5-0Nipo kwa Undisputed king of footbal Cr7
Real Madrid.
Wewe je?
HahahaaMkuu Pole sana maana kwa juu juu unaweza pigwa hata mkono yaani 5-0
Tusubiri kesho ifike mana huishiwagi maneno ya tambo wewe...Yaan ukiulizia Shunie hadi unacheka tuu. Hahaha! Safi sana.
El classico nsha jiandaa kesho tunashinda asubuhi tuu
that was his message bro, its clear.Kanye was misunderstood
Man Utd lakini nataka nipumzikeHahahaa
Braza uko barca?
England unashabikia wap?