Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
HahahahaTusubiri kesho ifike mana huishiwagi maneno ya tambo wewe...
Vipi salamu zangu Shemu alikufikishia?
I cant wait
Sijapata salamu zako asee
HahahahaTusubiri kesho ifike mana huishiwagi maneno ya tambo wewe...
Vipi salamu zangu Shemu alikufikishia?
Thats what people understood but his massage wasnt malicious. He was talking about mental state of a slave.that was his message bro, its clear.
Bro unaniangusha,Man Utd lakini nataka nipumzike
Red Army Wamekuwa walaini sana
Man utd gani unakuwa team messiMan Utd lakini nataka nipumzike
Red Army Wamekuwa walaini sana
Jana the Boss kaongea maneno yanakatisha tamaa sana,Bro unaniangusha,
Huyu ni legend wa united mpe heshima yakeCr7 hamna kitu mule
Braza we hama tuuJana the Boss kaongea maneno yanakatisha tamaa sana,
Yaani lukaku ni Tegemezi we unaona sawa
Tenga muda umwangalie messi he is complete footballerMan utd gani unakuwa team messi
Ungekuwa twitter ninge ku unfollow[emoji2]
He is OverratedCr7 hamna kitu mule
Iceman 3D Cr7 wa United ni tishio kubwa alikuwa anaujua mpira mnoHuyu ni legend wa united mpe heshima yake
Mrembo wako basi ni mtu wa kamba sanaHahahaha
I cant wait
Sijapata salamu zako asee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mrembo wako basi ni mtu wa kamba sana
Kuhama siwezi nitapumzika tuBraza we hama tuu
Kuna mwenzio humu ndani nilisha mpeleka City
Sisi wengine ni United forver
Hata huyu wa sasa anaujua mpiraIceman 3D Cr7 wa United ni tishio kubwa alikuwa anaujua mpira mno
Kabisa itabidi kubanwa tukikutana nae huko mitaa ya kati[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tutambana ajieleze hizo salam alizipeleka wap
Hujambo?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tutambana ajieleze hizo salam alizipeleka wap
Kwa nafasi yake yuko vizuri lakini si wakumfananisha na king LeoHe is Overrated
Sasa ungejua Ronaldo ndio complete playerTenga muda umwangalie messi he is complete footballer
Cr7 Too arrogant
Mi mbona nlikuepo [emoji2]Hujambo?
Za kupotea