Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Aaah! Tusifike huko mamaKumbe ndio muongo ivyo eeh.
Sikupendi
Nlikuwa natania tuu
Aaah! Tusifike huko mamaKumbe ndio muongo ivyo eeh.
Sikupendi
Jakito ulikuwa umepigwa ban moja ya nguvu pole sana1john 4:18
Hahah!!Jamaa he was born only to play football and entertaining the world
Cr7 mara kauza boxer mara chupi aaaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sikumbuki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jakito ulikuwa umepigwa ban moja ya nguvu pole sana
Hivi ulifanya nn?
Kwenda huko SIKUPENDI.Aaah! Tusifike huko mama
Nlikuwa natania tuu
Tatizo anaebeba hii ni messi hili tatizo kwenu team Penaldo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unataka usema mchezji bora atakuwa Ozil?
UCL ndio ina amua muulize mwenzio Sneidjer na Neuer walibeba makombe ya dunia ila waliambulia patupu
Sana maaVizuri
HahahaUnited ni community, watu wanakuja na kuondoka. He is jst a manager we pay him. Akiharibu anaondoka yeye, anatuachia UNITED yetu.
Chief una kadi ya uanachama lakin??
[emoji16][emoji16]Mimi sijahama etiHahahah
Ume muona mwenzio?
Kujua anajua lakini si kumshinda messi king of footballHe is 33
Ndio ujue kuwa jamaa ana weza ana jigeuza kutokana na mwili na mazingira ndio uchezaji bora wenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sikumbuki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mambo yamebadilika messi ndio anashika record mkuuCr 7 ni mfanya biashara na ni tajiri kuliko Messi
Kea hiyo hadharani kabsa una niambia hunipendi tena kwa herufi kubwa!Kwenda huko SIKUPENDI.
Hahahaa[emoji16][emoji16]Mimi sijahama eti
Sababu na wewe umenikana hadharani kama Petro alivyomkana YesuKea hiyo hadharani kabsa una niambia hunipendi tena kwa herufi kubwa!
Hapana CR 7 ni undisputed Messi ana fuataKujua anajua lakini si kumshinda messi king of football
He doesnt have to
Ungesikiliza mazungumzo yake yoote mwanzo mwisho ungejua that brother had no malicious intent.
Sema ujue watu weus wana mentality ya kuwa offended na anything tuu.
Messi ana shika record ya mapato ya mwaka jana ambapo mwaka huu tuna mwongezea mkataba king 7 na atarudi kwa chati.Mambo yamebadilika messi ndio anashika record mkuu
Nlikuwa natania tuu, Ila mi sja sema skupendiSababu na wewe umenikana hadharani kama Petro alivyomkana Yesu
Am just worried, Chief. Staki kumpoteza Cole.Hahaha
Mourinho mwenyewe ataondoka
Washabiki wanao hama waskupe tabu