Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

C205D6F8-641D-4720-9A27-C4938E4F7DFE.jpeg
 
Yaan una sound kama black americans ambao huwa wana fikiria kwa blocks.

Unajua kuwa waafrika ndio walijuwa wana iza wenzao kwa wazungu? Unajua kuwa Herriet Tubman alisema alishindwa kuwa free watumwa wengi kama wangekuwa wana jitambua kuwa wao ni watumwa.

Huwezi toka utumwani ukiwa na mentality ya kitumwa.
Nakubali kuwa aliwasilisha vibaya ila usiquestion intents zake

Bahati mbaya hua sijiskii comfortable kuzungumzia jambo mara mbili in same place. We discussed it in here japo kwa uchache. Waafrica watawala kuwauza wenzao haiwez kua justification eti weusi walipenda kua slaves.
 
Back
Top Bottom