Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani ukitaka Kujua cr7 hamuwezi king Leo angalia el classico bhasi au game ya against each other
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajifanya hukumbuki
Ile ban ulimtosa mmoja wa mods nn?

Yaan hadi nilianza kukuonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati mbaya hua sijiskii comfortable kuzungumzia jambo mara mbili in same place. We discussed it in here japo kwa uchache. Waafrica watawala kuwauza wenzao haiwez kua justification eti weusi walipenda kua slaves.
Hahahaha
Mi sku wepo mnavo jadili. ila watu wengi walioko Afrika hili jambo mli livamia. Tena watumwa wa bara afrika mwanzo walijitolea hata kuwa kuwa slaves nyue ndio haikupaswa hata mpige kelele.
Kanye west siyo intellectual, au deep thinker ndio.maana hakuweza ku articulate alicho taka kusema ila the idea of mental slavery hata Marcus Garvey kaielezea
Sikiliza hata wimbo wa Bob Marley unautwa Redemption ana sema "emancepate youselves from mental slavery non but our selves can free our minds"
Tatizo la Kanye ni ali erticulate his point poorly na shida kubwa ni kwa kuwa alijihusisha na Trump na unajua watu weusi wasivo mkubali jamaa.
 
Nakuelewa ila watch very close. Utumwa unaozungumziwa hapa ni upi? Tukichanganya hapo hatutaelewana. Am sure hakukusudia utamwa kichumi ama mental kama madai yako. Ndo maana nasema kama alimaanisha mental slavery, economical alipaswa ku-clear misunderstandings sababu anajua watu wame mind. Me pia nimemind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…