chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
duuu!!! Hatari.Barabara ndefu haikosi kona konaView attachment 766617
duuu!!! Hatari.Barabara ndefu haikosi kona konaView attachment 766617
Huu uzi naona umefutwaTukijiunga humo kwa wingi wetu humu afu tuwe tunapeana likes mbona mambo yatakuwa ni moto.
Nawahi usinimalizie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Hamna i mean t njoo kipo chakula nyingi tu.
Sema mbio ndio zme nifurahisha
Sijui eti rafikiWewe hujui tu
Bro, unafahamu LEGACY kwa Kiswahili sanifu inaitwaje?LEGACY ya mhimu kuliko zote tulizoachiwa na wazee wetu wa kale mbali na pesa majumba ni UTANI pekee.
WAHENGA popote pale mlipo iwe duniani ama akhera shukrani ziwafikie. Sababu LEGACY hii mliotuachia ni nadhiri TUKUFU mliojiwekea na kujua ya kwamba itarithiwa vizazi na vizazi.
UTANI ndo kitu pekee chenye kuleta chachu ya furaha miongoni mwetu japo kuna utani mwingine unahudhi. Pia LEGACY hiyo inawaleta PAMOJA bila kujali itikadi ya watu husika.
Ikumbukwe pia hata MWL.JULIUS K. NYERERE enzi za uhai wake alikuwa ni mtu wa utani wa hapa na pale katika hotuba zake. Hivyo UTANI tuuangalie kwa jicho lingine.
******UTANI******
Sawa nakuwekea hapa mpaka unavokuja kula kutakuepo.Nawahi usinimalizie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna maumivu ata uchungu wa kuzaa unasubiri, waulize wanaumeSijui eti rafiki
Huu uzi naona umefutwa
Hahaha
Hamna i mean t njoo kipo chakula nyingi tu.
Sema mbio ndio zme nifurahisha
Maumivu ya kuzaa yasikie tu best sijawahi lakini hata hayo unayosema cha mtotoKuna maumivu ata uchungu wa kuzaa unasubiri, waulize wanaume
Ndio maana ata uzi umefutwa sasa itakua kuna harufu ya utapeliHizi pesa za ajabu ajabu ambazo hazitambuliwi na mabenki na pia zinapigwa vita na Mataifa mengi ya Dunia ya kwanza bado naona ni utapeli tu ambao mwisho wake ni watu kulizwa kilio cha mbwa mdomo juu Mkuu.
Hujawahi alafu unayatetea hvyo uliza wanaume waliowahi sasa...Maumivu ya kuzaa yasikie tu best sijawahi lakini hata hayo unayosema cha mtoto