Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sydney [emoji254]
Legacy nayo ifahamu mimi ni 'urithi' bro.Bro, unafahamu LEGACY kwa Kiswahili sanifu inaitwaje?
Anasaka watu wa kupima tezi dume ama?
Wabongo wanapenda pesa za miteremko kweliHizi pesa za ajabu ajabu ambazo hazitambuliwi na mabenki na pia zinapigwa vita na Mataifa mengi ya Dunia ya kwanza bado naona ni utapeli tu ambao mwisho wake ni watu kulizwa kilio cha mbwa mdomo juu Mkuu.
Ndio maana ata uzi umefutwa sasa itakua kuna harufu ya utapeli
Kapotea sana. Akatafutweeeeee !!!