chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Iweni na huruma kama Baba yenu wa mbinguni alivyo na huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Naungana na wewe mkuu kama huamini pesa za haraka haraka kama mimiHizi pesa za ajabu ajabu ambazo hazitambuliwi na mabenki na pia zinapigwa vita na Mataifa mengi ya Dunia ya kwanza bado naona ni utapeli tu ambao mwisho wake ni watu kulizwa kilio cha mbwa mdomo juu Mkuu.
Kajificha sanaKapotea sana. Akatafutweeeeee !!!
Nanasi lina symbolize warmth, companioship, hospitality and good moodKwa nini?
Kwetu yamejaa sana hayo mahindi... karibuUmenitamanisha ujue Consuela
Kwetu yamejaa sana hayo mahindi... karibu
Kumbe walitaka kufake
Hahaha usijaliShukrani sana, on my way kuja kuyatafuna hadi niyakinai weka mawili na gudulia la maji baridiii LoL!
Anhaaa kumbeNanasi lina symbolize warmth, companioship, hospitality and good mood
AminaKila goti litapigwa na kila ulimi utakili kuwa yeye ni Bwana