Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Legacy nayo ifahamu mimi ni 'urithi' bro.View attachment 766672
Urithi ni "inheritance"

Natafuta legacy kama ile wewe utakayowaachia wanao na wajukuu zako baada ya safari yako kukamilika hapa duniani. Yale mawazo yako. Accomplishments zako ambazo kwazo utakumbukwa ama na watu wakujuao na hata wasiokujua...

Mf. Legacy ya Nyerere kwa Watanzania ni umoja wa kitaifa, uzalendo na uadilifu...
 
Mtaumizana tuu hapo wakuu kiswahili hakina utajiri wa maneno [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…