Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. Kukabiliana na utegemezi wa vileo
Baadhi ya tafiti zinasema kuwa funga husaidia wategemezi (addicts) wa vilevi mbalimbali kama vile nikotini, pombe, kahawa na madawa mengine kukabiliana navyo kirahisi kwa sababu ya kulazimika kushinda siku nzima bila kula. Ingawa msaada mwengine unahitajika sambamba na hili, hakuna shaka yoyote kuwa funga inaweza kuwa na mchango mkubwa pia
 
7. Kuupumzisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Unapofunga, viungo vyote vinavyounda mfumo wa usagaji wa chakula hupumzika na mmeng’enyo wa chakula hufanyika katika kiwango kidogo kinachotakiwa. Mmeng’enyo wa chakula unafanyika katika vipindi maalum na mwili hutoa nguvu katika kipindi maalum kinachohitajika tu.
 
8. Husaidia utoaji wa taka mwilini
Vyakula vingi sasa huwa na si asili, vimeongezwa kemikali nyingi zinazoweza kuwa na madhara mwilini. Sumu hizi mara nyingi hubadilishwa na kuhifadhiwa mwilini kama mafuta, na mafuta haya huwa yanasagwa/kumeng’enywa hasa unapofunga kwa muda mrefu na hivyo kuufanya mwili kuondoa sumu zote zilizohifadhiwa.

Ini, figo na viungo vingine huhusika pia katika utoaji huu wa taka mwilini. Pia husaidia kuupa mwili nguvu zaidi na wepesi.
 
IMG_20180505_215732_048.jpg
 
Back
Top Bottom