Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimezunguka sana kuitafuta maana ya LEGACY huku na kule mpaka google nimepata ni 'urithi' sijui labda neno 'inheritance' na 'legacy' ni maneno tofauti yenye maana sawa

Ila Niliyoimaanisha kwenye content yangu ni urithi au kitu ambacho kinarithiwa vizazi na vizazi na kinadumishwa (somethings that we worth it)View attachment 767358
Sawa mkuu. Nami nitajitahidi. Kuna makala naandika hapa ila nahisi kabisa neno urithi siyo lenyewe kwa legacy ninayoizungumzia. Nitaleta mrejesho.
 
Nom a sana
tapatalk_1525550896912.jpeg
 
Back
Top Bottom