Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zaidi ya hapo, funga inaupa changamoto mpya ubongo wako na kuufanya uweze kukabiliana na hali ambayo haikuizoea jambo linalosaidia kupambana na maradhi kwa haraka sana. Pia funga inasaidi kuepuka magonjwa ya kupooza kama Alzheimer’s na Parkinson’s na kwa wakati huo huo kusaidia kuimarisha uwezo wa kumbukumbu.
 
6. Kukabiliana na utegemezi wa vileo
Baadhi ya tafiti zinasema kuwa funga husaidia wategemezi (addicts) wa vilevi mbalimbali kama vile nikotini, pombe, kahawa na madawa mengine kukabiliana navyo kirahisi kwa sababu ya kulazimika kushinda siku nzima bila kula. Ingawa msaada mwengine unahitajika sambamba na hili, hakuna shaka yoyote kuwa funga inaweza kuwa na mchango mkubwa pia
 
7. Kuupumzisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Unapofunga, viungo vyote vinavyounda mfumo wa usagaji wa chakula hupumzika na mmeng’enyo wa chakula hufanyika katika kiwango kidogo kinachotakiwa. Mmeng’enyo wa chakula unafanyika katika vipindi maalum na mwili hutoa nguvu katika kipindi maalum kinachohitajika tu.
 
8. Husaidia utoaji wa taka mwilini
Vyakula vingi sasa huwa na si asili, vimeongezwa kemikali nyingi zinazoweza kuwa na madhara mwilini. Sumu hizi mara nyingi hubadilishwa na kuhifadhiwa mwilini kama mafuta, na mafuta haya huwa yanasagwa/kumeng’enywa hasa unapofunga kwa muda mrefu na hivyo kuufanya mwili kuondoa sumu zote zilizohifadhiwa.

Ini, figo na viungo vingine huhusika pia katika utoaji huu wa taka mwilini. Pia husaidia kuupa mwili nguvu zaidi na wepesi.
 
Karoti pamoja na kuwa na faida nyingi mwilini ikiwa utakula walau karoti si chini ya sita kwa wiki au moja kwa siku iwe unakula kwa kuzichemsha, mbichi, kuweka kwenye salad, kutengeneza juice na smoothie, supu, kutafuna nk.
 
Karoti hupatikana kwa wingi sokoni na magengeni japokuwa wengi wetu huwa tunaziona tu na hata wengine tunazinunua na kuishia kuzila kwenye michuzi ya nyama na vyakula vingine, Bei yake huwa ya kawaida sana kulingana na hali ya vipato vyetu lakini huwa na faida nyingi muhimu kwa afya zetu. Zinatupa manufaa mengi kuliko gharama kama inavyoelezwa hapo chini;
 
446506019_94221.jpg
 
2)Huifanya ngozi iwe nzuri na yenye afya, kama utatumia kurutubisha ngozi yako, ikwangue kwa kutumia grater kiasi unachotaka tia asali mbichi kijiko 1 kikubwa (cha kulia chakula) mafuta ya nazi au olive kijiko kimoja kikubwa na limao kijiko 1 kikubwa changanya vizuri, kisha itumie kusugua mwilini sehemu yoyote unayotaka, ukimaliza acha kama dakika 15 na zaidi kisha oga, itasaidia kuondoa taka katika vinyweleo, kuifanya ngozi iwe laini na kuondoa mikunjo katika ngozi. KUMBUKA INATAKIWA ASALI MBICHI, SIYO ASALI YOYOTE
 
-Karoti husaidia kuondoa sumu na taka mwilini, inaondoa mafuta yasiyotakiwa katika ini (Cholesterol) na kuliwezesha lifanye kazi vizuri, kusafisha njia ya haja kubwa na kusaidia kupata choo vizuri (kuzuia constipation).
3)Karoti zinasaidia kufanya fizi na meno kuwa imara na kuchochea uzalishwaji wa mate.
 
-Pia inasaidia kuzuia stroke(Kiharusi), Watafiti wa Harvard University wamegundua kuwa watu wanaokula karoti walau sita kwa wiki wana uwezekano mdogo wa kupata stroke. Pia

Wamegundua karoti zinatibu tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa wazee.
 
4) karoti hupunguza hatari ya kupata SHINIKIZO LA DAMU (blood pressure) kwani ulaji wa karoti husaidia mwili kupata madini muhimu ya Potassium ambayo husaidia kutanua mirija ya damu (blood vessels) na kufanya damu kufika katika maeneo husika ya mwili (organs).
 
6)Zaidi husaidia kuongeza kinga mwilini (immune booster).. hii hutokana na tabia asilia ya karoti kuwa na antibacteria pamoja na antiseptic ambazo husaidia kuzuia kinga za mwili. Pia Karoti ina vitamin C muhimu kwa kusisimua seli nyeupe za damu (white blood cells) ambazo ni sehemu muhimu katika kinga ya mwili.
 
Back
Top Bottom