Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sifa za kipekee ambazo huwezi kuzikuta kwenye sayari zingine ni

Venusi hutumia siku 243 kujizungusha katika muhimil wake, maana yake siku moja ya Venus ni sawa na siku 243 za kidunia.
 
Sayari nying huzunguka kutoka kushoto kwenda kulia au kutoka magharibi mwa mhimili wake kwenda mashariki yaani clockwise lakini Venus kama ilivyo Uranus huzunguka kutoka kulia kwenda kushoto au kutoka mashariki kwenda magharibi mwa mhimili wake yaani anti-clockwise au kinyume chake, bado wanasayansi wa anga za juu hawaja pata sababu za hizi sayari mbili kuzunguka kinyume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…