chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Karibu sana.Sikjua kama huu Uzi ni mtamu hivi...much kudos kwa aliyeuanzisha
Aiseeee yaani kuwashinda team Cr7 ni kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahyo nae messi anabahatishaga.Kama messi anavyobahatishaga ni shidaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu sana, Chief.Sure
Hata mi naona.Am gud
Daah sijui Kwann inakuwaga hivyo, kama siku ya kuja mwizi huwezi fahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] juzi mlango ulikua open
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha kumfananisha messi na vitu vya ajabu [emoji467][emoji467](joking)
Nikweli mkuu Mess hanaga hizo mambo ila sisi tunaomuangalia ndio huwa tunampa sifa anazo stahiliMessi hajawai kujifia chalii yuko humble sana
Nini kingine kimekuathiri???Mimi sijaathiriwa bado..[emoji23]Yakinifika hapa nitasema[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaaJumapili ya ushindi pale nou camp!
But I did not quote you wrong mkuu wewe tu umejiongezaI meant nina hamu ya kusocialize na waru mkuu dont quote me wrong ndio maana social networks ni mitandao ya kijamii
Kwani Mess anajiita au anaitwa?
Hakuna kabisa kwa sasa.Nini kingine kimekuathiri???