moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mshike mshike ndege tunduni.....
Mshike mshike ndege tunduni.....
Za kwangu pia njema sana.Kwema Rafiki za kwako
Ki kigimbi [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 766955
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
[emoji23] hiyo picha ya mnuno?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nikiiona hii picha nakukumbuka etii
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hatari kabisa...Wengi wao kweli, lakini wengine na urafu ilikuwa jadi yao..Chem.& phy. haikuwa sababu.[emoji16] [emoji16] [emoji16] itakuwa aisee, umenkumbusha walimu wa haya masomo km Chemistry, physics kwa miaka walikuwa watata sana, mwalimu unakuwa haumuelew elew, hatabiriki, ndevu hazina ushirikiano, suruali malinda yapo yapo tu,, muda wote anashinda maabara
Eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeee yaani kuwashinda team Cr7 ni kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahyo nae messi anabahatishaga.
Kuna mwalim wa Chemistry alikuwaga ana suruali moja nyekundu haina mifuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hatari kabisa...Wengi wao kweli, lakini wengine na urafu ilikuwa jadi yao..Chem.& phy. haikuwa sababu.