Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mwalim wa Chemistry alikuwaga ana suruali moja nyekundu haina mifuko
Jamaa alikuwa ana ivaa kila sku
[emoji23][emoji23][emoji23], Dah!
Kuna mama mmoja alikuwa akifundisha chemistry, alikuwa vizuri sana, sema kuna muda dish lilikuwa likiyumba mnatembezewa bakora bila sababu, hata ukipishana nae kwa ukaribu ni KOSA kwake[emoji29][emoji29]
 
Hahahaha wale ndio walikuwa wanafanya nisipende sayansi maana nilikuwa najua kusoma sayansi ni kuchanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…