Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marepublican haya manafiki sana. Yanapinga abortion (which is the right thing to do) lakini mtoto huyo akizaliwa hayataki asaidiwe kwa cho chote. Hayataki programs zo zote za kusaidia masikini na wasiojiweza na kama yangekuwa na uwezo yangeweza hata kuua masikini wote watoweke kabisa...
 
Since when abortion is the right thing to do? Sasa kama abortion ni mauaji alo ua si inapaswa auawe?
 
Haya ukisha weka vitu sawa nambie nikuelekeze.

Jana yule Mwifwa amemfungulia siredi moneytalk nadhani ndio ilikuwa sherehe rasmi. Sasa waja wakasema mimi kama mzee wa kijiji nikikuona nikutaarifu
Waambie salamu/taarifa nimezipata na uzi nimeuona na pongezi nimewapa.

Nasubiri siredi yako nawewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…