Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852901065_22026.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa thad tu hakuna mwingine.
Mimi nilikubali matokeo tangu kipindi cha kwanza.

Wewe na miller,wewe ni mkongwe.
Anzisha wewe miller afuate nyayo za kaka bhana,mboma unatubania kutoa pongezi??
Aseee watu wengi walikuwa wana kuwazia wewe lakini you are strong woman kumbe [emoji2]

Mimi bhanaaa sired mpama waweke Miller na mumu ndio ntafuata
 
Back
Top Bottom