Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Halaf siyo Thad[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa thad tu hakuna mwingine.
Mimi nilikubali matokeo tangu kipindi cha kwanza.
Wewe na miller,wewe ni mkongwe.
Anzisha wewe miller afuate nyayo za kaka bhana,mboma unatubania kutoa pongezi??
weekend iko poa sana carba,kwako imekaaje?
vizuri carba,, ulipotea sana, ule uchochezi wako waliukumbukaFresh tu,tupo tunaimalizia hivi
Halaf siyo Thad
Yaan watu wengine kabsaa mpaka wakaniomba nikutafute nikupe taarifa maana walikuwa wana waza utazipokeaje [emoji2]
Aaah acha kunifanya mi mkongwe bhana
Mi na miller hatuja pishana sana kwenye kuanzisha familia
vizuri carba,, ulipotea sana, ule uchochezi wako waliukumbuka
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanichekesha ujue.
Natamani niwajue hao watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Anzisha wewe miller na mumu watafuata bhana
Uchangamshe na yale mastori yako carbaNipo bhana.
Naona hata uzi umepoa kweli,wadau sijui wako wapi