Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wachochezi sana,nimepita kusoma huko nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Jikaze kiume bhana,mbona Mwifwa kaweza?
Au na wewe muoga kama Davet maana yeye alikimbia thread yake
Hahahaa
Walisema eti ninavo kujulisha ambulance ikae jirani
Yaan jana nilicheka kama chizi.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] siredi ya taka moyo Carbz
 
Watu wachochezi sana,nimepita kusoma huko nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Jikaze kiume bhana,mbona Mwifwa kaweza?
Au na wewe muoga kama Davet maana yeye alikimbia thread yake
Hahahah
Kwa kweli ndio nilijua kuwa hapa jf kila kitu kidogo watu wana ki notice. Sio la mchezo hapa

Kwa kweli mimi siredi mtasubiri sana [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…