Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye makabila mengi ilikuwa inakubalika. Mpaka leo vijijini huko mwanaume wala hajifichi kwenda kwa michepuko yake...

Vipi bro. Shiro kakudaka nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, maana hawa wazee wako na watt wengi wa nje hakuna mfano, na bado wife anakuwa hana noma,na bado unakuta wife na huo Mchepuko wanarespect sana

[emoji16] [emoji16] [emoji16] ,hapana bro wala shiro hajanidaka na hakuna Mchepuko just najarbu kurefrect tu maisha ya hawa wazee wetu walitumia mbinu gani kusolve ishu zao
 
Mtu akikutukana mwambie asante...

'Nough said...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…