Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Huyu si ndiyo alisema kuwa utafiti wake umegundua kuwa mayatima hawana wazazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28],Hahahah
Nyie wenzetu huwa hamuendi direct matendo yanaongea tu
Hahahaha! Jozee bwana.wewe haupo
Nzuri kabisa, thank u,ile waliiandama sana halafu ilikua bomba very beautifulHabari ya wewe?
Mependa avatar[emoji7][emoji7]
Owk bro!!Hawakuwa na mbinu zo zote bro. Wakati wao zikiwemo mila na desturi zao ziliruhusu...Japo UKIMWI umepoza poza mambo lakini hata leo ukienda vijijini huko ishu za michepuko waziwazi zipo tu na nhia kuu wala haisumbuki sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], hayo kweli maandamano khaa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 768138