Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180504-WA0010.jpg
 
Kupoozesha chai kwa kizungu inaitwa aje? Niko na mzungu hapa namwambia exchange exchange tea with different cups like shwaaaa... shwaaa... hashiki, nimejaribu kumwambia pfff pfff the tea to remove hotness hashiki mpaka nimemalizia na switch off the tea. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati jamaa anambembeleza mke wake usiku mambo y'alikuwa Hivi :

MUME: Mke wangu
naomba nikubusu

MKE: Sitaki[emoji35]

MUME: Ntakununulia pete ya gold[emoji4]

MKE: Staki[emoji35]

MUME: Ntakununulia gari[emoji4]

MKE: Sitaki….[emoji35]

Basi mtoto wao aliyekuwa kalala usingizi wa mang'amung'amu alisikia haya maneno anashangaa mama yake anaahidiwa vitu vikubwaa Hivi halafu hataki ikabidi naye afunguke

MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli[emoji6]

BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa[emoji35]


Hapo Ndo ujue Hata ziwa Victoria ni ziwa Kama maziwa mengine lakini halijawahi kunyonywa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaona dem amesimama pekeake wewe na kiherehere yako unamwendea oooh mambo oooh can I join you na yeye ako hapo anataka kunyamba... My friend unataka kumjoin mnyambe pamoja ama
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom