Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

245013193_276744.jpg
 
Aisee, maana hawa wazee wako na watt wengi wa nje hakuna mfano, na bado wife anakuwa hana noma,na bado unakuta wife na huo Mchepuko wanarespect sana

[emoji16] [emoji16] [emoji16] ,hapana bro wala shiro hajanidaka na hakuna Mchepuko just najarbu kurefrect tu maisha ya hawa wazee wetu walitumia mbinu gani kusolve ishu zao
Hawakuwa na mbinu zo zote bro. Wakati wao zikiwemo mila na desturi zao ziliruhusu...Japo UKIMWI umepoza poza mambo lakini hata leo ukienda vijijini huko ishu za michepuko waziwazi zipo tu na njia kuu wala haisumbuki sana...
 
Back
Top Bottom