[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji3], hivi muda huo wanakuwaga wameshikilia picha huku kazi inaendelea????hahaaa...kweli ila zina saidia kujibust kwa wale wenzetu wa Team CHAPUTA
Kumbe ni kesho, all the best kwaoNawatakia mtihani mwema wanafunzi wa kidato cha sita hiyo kesho, Mungu awatangulie
Aiseee! Hivi kumbe kesho kidato cha 6 wanaanza mitihani.Nawatakia mtihani mwema wanafunzi wa kidato cha sita hiyo kesho, Mungu awatangulie
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa AMANIhahahahahahahah lol! hawa wa hivi hawafi Mkuu huwa wanapumzika tu.