Yap yap, na leo kuna dogo wa form six ambaye kesho ilitakiwa aanze mitihani amekutwa kajinyonga source itv tzAiseee! Hivi kumbe kesho kidato cha 6 wanaanza mitihani.
Mida ya Nou Camp kukaa kimyaMida inakimbia sana
Aisee Pyaar! [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji3], hivi muda huo wanakuwaga wameshikilia picha huku kazi inaendelea????
Hatari kabisa,Yap yap, na leo kuna dogo wa form six ambaye kesho ilitakiwa aanze mitihani amekutwa kajinyonga source itv tz
Hahah!! Hivi spain hakuna ile sheria ya kumpigia makofi bingwa akiwa anaingia?Mida ya Nou Camp kukaa kimya
Mi kila nikinywa juis ya ubuyu lazima nihis kama usingz mzito sana cjui kwaniniUnywe kiasi gani? Jipatie kikombe kimoja cha juisi ya ubuyu kila siku hasa usiku na baada ya wiki kadhaa utaona matokeo yake mwilini.
OiledOh! God!
![]()
Hahah hata sina ufahamu juu ya sheria hyo broHahah!! Hivi spain hakuna ile sheria ya kumpigia makofi bingwa akiwa anaingia?
Binslum katengeneza kiatuFenty cleated creeper ♡View attachment 768480
[emoji23][emoji23], nimeuliza jamani huwa sielewi kabisa etiAisee Pyaar! [emoji16]
Itakuepo bwana kwahoyo leo lazima cr apige makofi kwa kingHahah hata sina ufahamu juu ya sheria hyo bro
Breaking NewsYap yap, na leo kuna dogo wa form six ambaye kesho ilitakiwa aanze mitihani amekutwa kajinyonga source itv tz
Yap yap, na leo kuna dogo wa form six ambaye kesho ilitakiwa aanze mitihani amekutwa kajinyonga source itv tz