myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:30
Hahahahh ee usikimbie barca ikila kichapo[emoji23][emoji23] naona unakusanya madeni yako
Dah mitihan hii huwa na presha sana hasa ndugu jamaa na marafiki kutoa maneno ya kukatisha tamaa mtu kama una roho ndogo unachanganyikiwa vibaya. Hope hajauliwa na kutundikwa hapoBreaking News
*BAD* *NEWS*
Mwanafunzi kidato cha sita Kahororo Sekondari Bukoba akutwa akiwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.
Mwanafunzi huyo *ROBERT* *MASABA*mwenyeji wa Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza amechukua uamuzi huo yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufanya Mtihani wa Taifa unaotarajia kuanza hapo kesho.
Sababu za Uamuzi huo bado hazijafamika.
Aiseee!!
Mbele unapata likesMimi mwendo wa kinyonga, nipeni likes huko mbele
Hatari kabisa, MAISHA haya ni FUMBO.Redio One wamesema ni wa Nyakato. Hata haijulikani vizuri...aRIP...
Pengine presha za mitihani...