myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Kwanini?Sijui kama leo nitalala
Zaidi ya moto!! Flexible sana huyo mtt km hana mifupaMambo ni motoooo Mkuu
Aisee! Ni hatariDah mitihan hii huwa na presha sana hasa ndugu jamaa na marafiki kutoa maneno ya kukatisha tamaa mtu kama una roho ndogo unachanganyikiwa vibaya. Hope hajauliwa na kutundikwa hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakiogopa na sikitaki[emoji16] [emoji16] [emoji16] hauogopi kile kipigo
Ndio naniBinslum katengeneza kiatu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sawa shiro, bt hawezi kufanya chochote yule hadi umchokoze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakiogopa na sikitaki