Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
KawafungaHalla madrid imekuwa hello
Pyeeee Penaldo hovyo kabisa
Na Messi kavizia GOAT hayupo eti ndio ana funga goli la dhulma lile
KawafungaHalla madrid imekuwa hello
Pyeeee Penaldo hovyo kabisa
Kocha wako juzi kasema kushinda la liga ni ngumu kuliko UEFAHamna
Mnacheza mpira mbyaa. Mlitolewa Ucl
Unbeaten ni ubingwa wa laliga ule ule tuu
Timu za tanzania bana zinachojua ni kulogana home ili kuchukua kombe na kuvurunda mechi za kimataifaWaarabu penati
Ubingwa tulishachukua kitambo sasa tunataka kuchukua na record...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ina wasaidiaje hiyo rekodi
Si mnakuwa mabingwa wa la liga vile vile tu
Wa Kimataifa mai futi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabi 4 Yanga 0
Ndio uwezo wetu ulipofikiaFulltime ,Yanga yalala 4
Amini hivyo mkuuHahahahaha
Hamna alisemaKocha wako juzi kasema kushinda la liga ni ngumu kuliko UEFA
Mpira ndivyo ulivyoAcha hizo khaaa yaan ile ya bale ilikua clear penat
Goli la messi sio halali,suarez alimchezea rafu madrid akampasia messi hujaona hapo
Ile mitama ya katikat ya uwanja sijahesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamefurahi balaa fulu magego...
Homo Sapiens [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weuwee alikua anawapa moyo tu halafu ongea taratibu liver wasikusikieeee maaana wanaliheshimu mno kombe la UEFA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kocha wako juzi kasema kushinda la liga ni ngumu kuliko UEFA
Tumebebeka mkuu nyie mmebebwa kumbe mmepanda mgongoni na viwembeSuarez alifanya faulo
Refa kawabeba
YapYes...
Hovyo sana hizi timuTimu za tanzania bana zinachojua ni kulogana home ili kuchukua kombe na kuvurunda mechi za kimataifa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Ndo madhara ya nachuro hayo, hapo kati kama nilikuona umavaa wigi kuitafuta 0205,ukajishebedua weeee. Ila nilijisemea tu "ze winta izi kamingi" na ina kamu kweliHivi kumbe niko independent waiiii[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hapo ingekua imepetwa barca leo madrid wangeshutumiwa dunia nzimaMpira ndivyo ulivyo