Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Good night Wapendwa.... Nimefurahi kuwa nanyi hapa[emoji10] [emoji10] [emoji10] [emoji10]
IMG_20180506_235903_141.jpg
 
Acha hizo khaaa yaan ile ya bale ilikua clear penat

Goli la messi sio halali,suarez alimchezea rafu madrid akampasia messi hujaona hapo

Ile mitama ya katikat ya uwanja sijahesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nyie hamjaona rafu waalizocheza watu wenu na refa kapeta?

Kawapunguzia kazi kipindi cha kwanza tu ila vijana wenu michele kweli
 
*KUTOKUONGOZWA KWA HISIA*

Utakaso sio hali ya hisia ya furaha inayo tawala kwa muda mfupi, sio kazi ya mara moja, bali kazi ya maisha yote.

Yeyote akidai kwamba Bwana amemtakasa na kumfanya kuwa mtakatifu, uthibitisho wa
dai lake la kuwa na hiyo baraka utaonekana kwenye matunda ya upole, Subira, uvumilivu, ukweli na upendo.
Mmmmmmmh!
 
Back
Top Bottom