Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*KUTOKUONGOZWA KWA HISIA*

Utakaso sio hali ya hisia ya furaha inayo tawala kwa muda mfupi, sio kazi ya mara moja, bali kazi ya maisha yote.

Yeyote akidai kwamba Bwana amemtakasa na kumfanya kuwa mtakatifu, uthibitisho wa
dai lake la kuwa na hiyo baraka utaonekana kwenye matunda ya upole, Subira, uvumilivu, ukweli na upendo.
 
Wamefurahi balaa fulu magego...

Homo Sapiens [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wacha wasubi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…