Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mbona rafu ya bale kwa umtiti usemi ni red card straightSuarez alifanya faulo
Refa kawabeba
HahahaTumebebeka mkuu nyie mmebebwa kumbe mmepanda mgongoni na viwembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mpira upi jamanHiyo hatatokea Liverpool ndio mabingwa wa champ league this season
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] Ndo madhara ya nachuro hayo, hapo kati kama nilikuona umavaa wigi kuitafuta 0205,ukajishebedua weeee. Ila nilijisemea tu "ze winta izi kamingi" na ina kamu kweli
Yaani jamaa bila kuchambua chambua wapuuzi bado hajajisikia raha [emoji23][emoji23][emoji23]...Muache yule yaani muache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Mbona una ongea sana wakati hakuna ako mfunga mwenzie[emoji23]
Una ona bahat kutoa droo na bingwa mtarajiwa wa UCL eeh?
Braza hujui makosa ya red kadi [emoji2]Mbona rafu ya bale kwa umtiti usemi ni red card straight
Hahaha messi anafungaga kama vile hata akilewa au awe amekunywa gongo lita mbiliKawafunga
Na Messi kavizia GOAT hayupo eti ndio ana funga goli la dhulma lile