El clasico usipoongea sasa utakua na wazimu mana kama kuongea tunaongea wote humu...Hahaha
Mbona una ongea sana wakati hakuna ako mfunga mwenzie[emoji23]
Una ona bahat kutoa droo na bingwa mtarajiwa wa UCL eeh?
Na wewe siulimuona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaaaaWe should have won this match kwa kweli
Refa kawapa goli
Katt kazurii hakaGood night Wapendwa.... Nimefurahi kuwa nanyi hapa[emoji10] [emoji10] [emoji10] [emoji10] View attachment 768646
Cc mzee wa liverWeuwee alikua anawapa moyo tu halafu ongea taratibu liver wasikusikieeee maaana wanaliheshimu mno kombe la UEFA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh umesahau mara hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi anakujaga na kumwaga picha tu halafu anasepa. Halafu ukiweza nibembelezee anitoe kwenye ignore list. Hata sijui kosa langu safari hii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kijana anakimbia kuvuli chake mwenyewe mkuu kweli dunia bila unafiki haiendiLazima akatae maandishi yake
Messi sio mchezo
Hamna sisi hatuongei sana kwa kuwa hii mechi ni point less kwetuEl clasico usipoongea sasa utakua na wazimu mana kama kuongea tunaongea wote humu...
Madrid anabebwa sana UEFA saanaHapo ingekua imepetwa barca leo madrid wangeshutumiwa dunia nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha messi anafungaga kama vile hata akilewa au awe amekunywa gongo lita mbili
King majuto eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe siulimuona?
Mkuu labda unazungumzia BINGWA POMBEHahaha
Mbona una ongea sana wakati hakuna ako mfunga mwenzie[emoji23]
Una ona bahat kutoa droo na bingwa mtarajiwa wa UCL eeh?
Barca anabebwa sana la ligaMadrid anabebwa sana UEFA saana
Jamani Barca wazuriJaman drid wabaya
Siku sema mi sioni kama ilikuwa na umuhimu kuwafunga wakat mshakuwa mabingwaUbingwa tulishachukua kitambo sasa tunataka kuchukua na record...
Kwanza mchana siulisema unakuja kuivunja record yangu ya kutokufungwa wewe, inakuaje tuna unauliza umuhimu wa hiyo record?
Ahsante kwa kuiweka sawa mkuu.Naitunza kwa matumizi ya baadayeNaomba ninukuu hiyo kauli ya shemeji.
"Hawa ni wale hata ukimwambia leo njoo unirenge hatakuelewa"
Heeee yamekua hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaza kwa sauti watagombeaje akati bado sijaliachia jimbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]