moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamaa ametisha.
Jamaa ametisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], umejuaje???? Shauri yake....Chenga tu ana Jinsia pendwa huyo
Nilikuwa ovyo sana jana, Hivyo sikuwa na ujanja, Ilibidi nianguke mapema tu.Aisee leo kazi ipo
[emoji106][emoji106][emoji106]Nikweli huwezi kupinga
Umeona eeh!haha haa "" wasi wasi ndio akili
Mvua zimekata likes zinasonga[emoji3] [emoji3]Mvua zinaendelea
Likes zinaendelea..
UsikoseKesho tutakuwa pamoja kama kawa
Huhuhuhu timu mbovu alafu unatukaribisha kasmartJana tulihitaji sare tu
Hahah karbuni mtusapoti kwenye fainali ya Uefa
Road To KIV!
Mmeanza kula kwa picha