Yaani sijui tatizo nini, vilevile kina OTTU JAZZ band walikuwa wanafanya vizuri sana.Sijui ni nini kimechangia anguko la hizi band
Ottu ndio walikua kina nani hao.Yaani sijui tatizo nini, vilevile kina OTTU JAZZ band walikuwa wanafanya vizuri sana.
Kina msondo ngomaOttu ndio walikua kina nani hao.
Mkuu, unanitumia ujumbe wakati mi mwenyeji? Ngoja sasa nikupeleke nyumbani kwenyewe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SYB popote ulipo huu ujumbe ukufikie
Ilikuaje OTTU alafu tena Msondo au walikua na majina mawili?Kina msondo ngoma
Hawa ndo hawajadumu kabisaYa moto band
Okei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata usitume[emoji124] [emoji124]
[emoji119][emoji119] Mungu asifiwe kwa huu uumbaji....Mkuu, unanitumia ujumbe wakati mi mwenyeji? Ngoja sasa nikupeleke nyumbani kwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 769124
Tatizo wadau tuHawa ndo hawajadumu kabisa
Hii ndio ile ya banana?The B band