Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto wa Ferguson, son Darrren, ambaye ni meneja wa Doncaster, hakuwepo kwenye mchezo wa mwisho wa timu yake na Wigan, kutokana na suala hilo la kifamilia. Taarifa ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ilisema: ‘Darren ametaka kuwepo na faragha zaidi katika ishu ya baba yake, na ataendelea kutupatia taarifa zaidi kila wakati.’