Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Legacy kwa kiswahili ndio urithi hivo hivo
Legacy- is the money or property which some one leaves when they die..

Urithi- ni Pesa au mali ambazo mtu au watu uacha baada ya kufa.

Inheritance- is money or property which you receive from some one who has died

Urithi(2)- ni Pesa au mali ambazo unapokea kutoka kwa mtu aliyefariki(akupe yeye kabla hajafa ama upewe na watu wengine)

Legacy na inheritance vyote ni urithi ila tofauti ni hiyo
-LEGACY ni urithi unaweza kuwa wa pesa ama mali ambazo hata kama zitachoka lakini bado zitaendelea kutumika zaidi na zaidi.

- INHERITANCE ni urithi ambao mtu/watu wanapewa baada ya mmiliki kufariki wanapewa waviendeleze lakini vinaweza visidumu kuliko LEGACY.
 
Legacy siyo urithi. Nimeshawaandikia BAKITA. Wakinijibu nitaleta mrejesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…