Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Heeeeee! Kweli???????Dah !!!
Sikutegemea....
mie BAKITA ndogo.
Heeeeee! Kweli???????Dah !!!
Sikutegemea....
[emoji16][emoji16][emoji16]Dah !!!
Sikutegemea....
Wakerewe mko juu kwa kweli....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ledada akiona haya maneno yako naimani atakua kaelewa mana nae ni binadamu ana moyo
Natafuta neno sanifu lenye maana ya Legacy...ambayo ni tofauti na urithi (inheritance)Heeeeee! Kweli???????
mie BAKITA ndogo.
Unafafanua au unatia kaumbeya kako nawe hapo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio maana ya methali hiyo
Sana [emoji23][emoji23]Mama Vanessa hatari
Legacy kwa kiswahili ndio urithi hivo hivoNatafuta neno sanifu lenye maana ya Legacy...ambayo ni tofauti na urithi (inheritance)
Any help will be greatly appreciated
Hiyo nilikua naijuaUnafafanua au unatia kaumbeya kako nawe hapo?
Jirani bana !!!
Kuna siku alitia mguu huko aisee ilikuwa patashika nguo kuchanika...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ledada kikwazo chake Shunie tuu
Uki mclear kuhusu hilo ume maliza
Hana shida huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeLedada akiona haya maneno yako naimani atakua kaelewa mana nae ni binadamu ana moyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku alitia mguu huko aisee ilikuwa patashika nguo kuchanika...
Sijawahi kuona mbio kama zile katika uzi huu...
Usain Bolt wanamsingiziaga tu
AiseeeeKeeping up with the Kardashians
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa nikueleweje jiran eee,sasa nikueleweje mwenzangu ee
Wote wawili walipishana kwa kasi ya ajabu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikuja kumulika mwizi!
Kwa hiyo Davet ndio ali epa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah,
Daah!