omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa nikueleweje jiran eee,sasa nikueleweje mwenzangu eeKila ninapo kuomba jirani eeh mwenzangu wanikatalia [emoji445]
*Tezi -upande wa mbele wa ngalawaTezi ni nini?
Omo ni nini?
Sahihi...*Tezi -upande wa mbele wa ngalawa
*Omo -upande wa nyuma wa ngalawa
*Ngamani- katikati ya ngalawa
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani, nenda mbele nenda nyuma (ya ngalawa) lakini mwisho wa siku utarudi katikati (ngamani)
***Tembea kote, nenda kote uendako, Mwisho wa siku utarudi nyumbani* Nyumbani ni nyimbani.