Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo wa Hispania alikuwa na mwanzo mzuri Stamford Bridge baada ya kutua hapo kwa dau la Pauni58milioni kutoka Real Madrid, lakini aliumizwa na tangu kuanza mwaka huu amekuwa akipambana kurudisha hali yake katika ubora.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo mkuu inabidi iwe muda gani???
Hahaha
Isiwe muda sana, mwanamke anaye kupenda hawezi kukuzungusha, na hata kama aki kufriend zone utajua tuu kuna ka chance ana kupa, huwa inajonesha. Sasa wewe mwanamke hadi ana kuita kaka unamtaka wa nn? Unalazimisha kuumia baadaye hapo its obvious hakutaki
Na sku zote mwanamke akiwa anakuzungusha jua kuna kitu ulikosea unavo contact naye.
Hao wanawake mnao wafuatilia sana ndio.maana huwa wana waumiza miyo.
Kuna msemo unasema "when people shows you who they are, believe them" mwana mke aso kupenda usimlazimishe siku akipata anaye mpenda mkiwa kwenye mahusiono atakuacha.
Sorry kwa makala ndefu
 
Tulianza vizuri na kila mmoja alinipenda, na nilikuwa nafunga mabao, lakini kwa sasa mambo ni tofauti kabisa,’ Morata aliliambia Marca. ‘Watu huko mtaani wanasema maneno mengi sana kuhusu mimi, lakini hawajui kwanini sichezi, kwanini nakumbana na hali hii.
 
*Tezi -upande wa mbele wa ngalawa
*Omo -upande wa nyuma wa ngalawa
*Ngamani- katikati ya ngalawa

Mwenda tezi na omo marejeo ngamani, nenda mbele nenda nyuma (ya ngalawa) lakini mwisho wa siku utarudi katikati (ngamani)
***Tembea kote, nenda kote uendako, Mwisho wa siku utarudi nyumbani* Nyumbani ni nyimbani.
Dah !!!

Sikutegemea....

Wakerewe mko juu kwa kweli....
 
Back
Top Bottom