Hahahahahaha!Chooo, bhagosha! [emoji1][emoji1]
Huku kwetu Koromije...Braza wazungu wa wap hao? [emoji23]
Basi wewe unaenda ant clockwise na sisi,Weeeeeeeee.....!! Sema kweli maana mimi huwa natumia mkono wa kushoto zaidi kuanzia ( kula, kiandikia, kuchati , kupasi , kupikia, kurusha kitu, kukata nyanya, every thing left lakini msalani natumia right hand ) [emoji87] [emoji85]
Binti wa kizungu mpaka akutamkie haya maneno bro utakuwa umehenya sana....Na akishakutamkia ndo ujue hakuna kurudi nyuma sasa
Poaa my brother from another mother, uko vizuriMambo my sister from another mother. [emoji4] [emoji257]
Me napenda wazungu siyo wachoyo kutoa. [emoji4]Binti wa kizungu mpaka akutamkie haya maneno bro utakuwa umehenya sana....Na akishakutamkia ndo ujue hakuna kurudi nyuma sasa
Mpaka wajiridhishe..Kwann sasa ni shida kutamkwa bro
I guess Baraka da prince huyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sometimes I miss you
Kwanini.... ?? [emoji50] [emoji87] [emoji102]Poaa my brother from another mother, uko vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You love who you love lesista
Si kosa lako
Wale wazuri kabisa kabisa wa mtaa wa matajiri kule Uingereza ulisema twende tukawaangalia tushangae uzuri wao nao ni warahisi kutoa?Me napenda wazungu siyo wachoyo kutoa. [emoji4]
Na hawapendi kuchanganywa changanywa akikustukia hata kukushot yupo tayali,, wenzetu wanajua LOVE nnHalafu huwa wanamaanisha wanachokisema!