Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dk Kahesa anasema asilimia 12 ya wagonjwa wote wa saratani nchini wanasumbuliwa na saratani ya koo, hivyo kuna kila sababu kwa vijana kubadilisha tabia na kuepuka kuiga mitindo ya wenzetu wazungu ambayo mara nyingi inapotosha mila na tamaduni za Kiafrika.
 
Anasema katika mtiririko wa saratani zinazoongoza nchini saratani ya koo inashika nafasi ya tano, wagonjwa wengi wanaopatwa na ugonjwa huo ni watu wenye umri mkubwa wa miaka 60 na kuendelea hiyo inaonyesha kuwa wengi wao walianza ngono ya mdomo muda mrefu wakati wakiwa bado wadogo.
 
Asilimia kubwa ya wagonjwa wanaopatikana na kansa ya koo nchini, inawapata watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea kutokana na wengi wao kuanza mapema vitendo vya ngono kwa njia ya mdomo wakati bado wadogo au wengine kurithi kutoka kwa wazazi wao,” anasema Dk Kahesa.
 
Aina ya kansa ya koo
Tafiti zinaonyesha kuna aina mbili za saratani ya koo; aina ya kwanza ni “Oesophagus Carcinoma na Squamous cell carcinoma, zote hutofautiana wakati zinapimwa kwenye darubini lakini matibabu yake yanafanana.
 
Anasema staili ya maisha nayo imechangia kuongezeka kwa ugonjwa huo, vijana wengi kwa sasa hutumia muda mwingi kuangalia video za ngono na staili zinazofanywa na wenzetu wa nje na hivyo kuongezeka kwa matumizi ya ngono ya mdomo.
Utafunaji wa konokono kwa sasa ndiyo kisababishi kikuu cha kansa mbalimbali za koo na kinywa duniani kote.
Ni hatari sana !!!
Afadhali sisi wahenga haya mambo yalitupita ----
 
Visababishi vya kansa ya koo:
Moja kati ya vitu vinavyosababisha kansa ya koo ni mwenendo wa maisha yetu kwa kula vyakula vyenye asidi, vyakula vichachu, vyakula vyenye pilipili, pombe kali na vyakula vigumu ambavyo hukwaruza koo na hivyo kusababisha saratani.
 
Anasema asilimia 90 ya wagonjwa wanaopokelewa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean road wanakuwa na historia ya kutumia vikali kama pombe kali, kuvuta sigara kwa kupindukia, kula pilipili kwa wingi na kutumia vitu vyenye uchachu.
Dalili za saratani ya koo
 
Back
Top Bottom