Hivi braza huwa unadhani skujui?[emoji23]Mi mkulima wa nyanya bro wazungu siwawezi. Nasimuliwagwa tu na majamaa yaliyowahi
Ndiyo. Kametoka kapa. ...
Hata mimi nina unafuu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka wajiridhishe..
Siyo kama sisi mtu hata hamjaonana tayari I love you....
Yaani wewe kama popo, usiku ndiyo unaonekana tu.... [emoji23] [emoji95] [emoji379]
Wasoka kapa?
Nkusakile???
Heehehe,Aisee, Tanga wako vizuri basi