omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Wanajua kucare na wana mapenzi ya kweli,Hahah watanga now wapo hivo mkuu?
Zile kubebwa mapaka maliwatoni,
Kunyweshwa uji,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni hayo tu mengine wanayajua wenyewe.